Ardhi kubwa ya county ya Taita Taveta ni fursa, si tatizo. Nitaunga mkono kilimo cha kisasa ili kuunda ajira za kijani kwa vijana wetu. Ndiposa wa pate kazi za kiheshima, kwenye ardhi zilizo zao wenyewe. #Ukombozi2027David Maraga @dkmaraga · 2026-08-07你的浏览器不支持视频播放。0:00 / --:--