Je, mmekubali na kumtuma Mama Aisha Jumwa aje tushirikiane kufanya kazi pamoja na kuendeleza Kaunti ya Kilifi? Sisi tumekubaliana kushirikiana ili kuendeleza Kaunti ya Kilifi na Taifa kwa ujumla. Kalonzo Musyoka @skmusyoka · 2026-08-14