Walisema Homabay ni no - go zone ! Tell me where we at right now? Homabay Leo ilikuwa mic check tu, Sunday ndio tuned In na watu wa Asego Kanyada. Itakuwa faya sana! James Orengo @orengo_james · 2026-08-14