跳到主要内容
Huyu tutamfinya alie kama panya imetegwa! WANTAM kila corner! Akifumba na kufumbua macho anapata Linda Mwananchi Homabay, akigeuka huku kwingine anapata Riggy G amewakilisha Thika. Akiangalia mbele anapata mzee mzima JB niko Murang'a. Akijaribu kuangalia nyuma kwa kupotelea