跳到主要内容
Oya @KWSKenya , watu wangu wa Kitui South wanaumia sana pale border ya Tsavo National Park. Wild animals are too wild for our lives. Tumechoka, tutaanza kutuma hao wanyama zayuni very soon. MAMBO SI MATATU, option ni moja tu, mfanye ama sisi tufanye. Thank you.