跳到主要内容
Baadaye tulikutana na wananchi wa Voi, Taita Taveta, katika mazungumzo ya wazi kuhusu mustakabali wa nchi yetu.
Wananchi wamechoka kuona ardhi ya umma na mali ya wananchi ikichukuliwa na wachache wenye nguvu serikalini, huku Wakenya wa kawaida wakibaki bila haki na matumaini.