跳到主要内容
Mombasa International Show
Watu wa Kanda ya Pwani!
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inawaalika kutembelea banda letu kwenye Maonyesho ya Kimatifa ya Kilimo ya Mombasa - Mombasa International Agricultural Show (A.S.K)
Ukumbi: Uwanja wa Maonyesho wa Jomo Kenyatta, Mkomani