Niaje watu wangu wa Chelsea...Yes Bana! Season ni yetu msiworry...Yes Bana! Remix ifikie Khaligraph na watu wa Arsenali. Season ya jana sio ya Leo! Leo tunawatandika kama ile machine ya chapati! Tupatane 6:30! #WeAreTheBlues Esther Muthoni Passaris @EstherPassaris · 1 天前