Kanja, Mohamed Amin Mashakani: Mahakama Kuu imewaagiza Inspekta Jenerali wa Polisi na Mkurugenzi wa DCI kujifikisha mahakamani Jumanne kuhusiana na kutoweka kwa wanaume watatu kutoka Mathare. #NTVJioni @FredMuitiriri NTV Kenya @ntvkenya · 2026-08-17 你的浏览器不支持视频播放。 0:00 / --:--