NTV Kenya

@ntvkenya

LIVE STREAM: https://t.co/5rVOVJBfX8 _______ for breaking news @NTVnewsroom, @NTVSasa for Kiswahili updates. Follow us on WhatsApp: https://t.co/pUNFWEGVmg


  1. #1

    Kanja, Mohamed Amin Mashakani: Mahakama Kuu imewaagiza Inspekta Jenerali wa Polisi na Mkurugenzi wa DCI kujifikisha mahakamani Jumanne kuhusiana na kutoweka kwa wanaume watatu kut…

  2. #2

    Now airing: Kiharu MP Ndidi Nyoro's political direction. #NdindiNyoro Watch:

  3. #3

    Mauaji ya Eric Muiruri: Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa Eric Muiruri, aliyeuawa katika eneo la Githurai, alifariki kutokana na majeraha ya risasi mbili. #NTVJioni @FredMuitiriri

  4. #4

    Kijiji Chapoteza 5 Kwa Ajali: Kijiji cha Nthongoni kaunti ya Makueni kinaomboleza vifo vya watu watano walioaga kwenye ajali ya barabarani eneo la Kalembwani. #NTVJioni @FredMuiti…

  5. #5

    Patashika Za Kujiuzulu Kwa Kanja: Wanaharakati sita wamekamatwa baada ya kufika Jogoo House wakiwa wamebeba jeneza na kutaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja ajiuzulu. #N…

  6. #6

    Vurugu Za Homa Bay: Watu Wawili Wafariki Watu wawili wamethibitishwa kufariki na wengine 46 kujeruhiwa katika ghasia zilizoathiri mkutano wa Linda Mwananchi Jumapili kaunti ya Hom…

  7. #7

    SP: Ever heard someone say they "invest in bonds"? 🤔 It means lending money to a company or government. You earn regular interest and get your full investment back at maturity. St…

  8. #8

    Police say 37 people have been arrested following violence during Linda Mwananchi rally in Homa Bay; probe ongoing to unravel facilitators of the chaos.

  9. #9

    Kunguni Wakorofi Kakamega: Elimu katika eneobunge la Mumias Mashariki imevurugwa na ongezeko la kunguni na funza. Wahudumu wa afya ya jamii wanasema kaya 9 kati ya 10 walizotembel…

  10. #10

    Sodo Za Vitenge: Wanawake wawili kutoka Ruiru wanatengeneza 'pads' ambazo zinaweza kutumiwa na wanawake kwa miaka mitatu na ambazo ni Shilingi 60 tu. #NTVMashinani

  11. #11

    Madiwani Watishia Kususia Uchaguzi 2027: Madiwani wa zamani wametishia kususia uchaguzi mkuu wa 2027 iwapo serikali haitawalipa stahiki zao za kustaafu zilizochelewa kwa muda mref…

  12. #12

    When nothing is sacred: Goon violence hits church, hospital in Homa Bay

  13. #13

    Je, kunguni wamewahi kuvamia eneo lako? Hali ilikuwaje, na mlifanya nini kukabiliana nao? #NTVMashinani

  14. #14

    "My Political Direction": Kiharu MP Ndindi Nyoro speaks LIVE on NTV. 7:30pm Tonight.

  15. #15

    Earlier: Natalie Githinji speaks as she awaits endometriosis surgery in Nakuru. #NTVBeatznBuzz

  16. #16

    Natalie Githinji undergoes endometriosis medication in Nakuru. #NTVBeatznBuzz

  17. #17

    Endometriosis has no cure, spreads to other body parts, and periods are painful. Natalie Githinji mentions some of the facts about endometriosis. #NTVBeatznBuzz

  18. #18

    Three hours of 'marriage': Dead couple's kin clash as postmortem reveals cause of deaths

  19. #19

    Do you have feedback on our journalism? Help us serve you better.

  20. #20

    Police officer among two people who died during Linda Mwananchi rally chaos on Sunday, County Commander says officer was ferrying colleagues providing security backup.

  21. #21

    NTV Kenya Livestream