Kunguni Wakorofi Kakamega: Elimu katika eneobunge la Mumias Mashariki imevurugwa na ongezeko la kunguni na funza. Wahudumu wa afya ya jamii wanasema kaya 9 kati ya 10 walizotembelea zimeathirika. #NTVMashinani NTV Kenya @ntvkenya · 2026-08-17 你的浏览器不支持视频播放。 0:00 / --:--