Madiwani Watishia Kususia Uchaguzi 2027: Madiwani wa zamani wametishia kususia uchaguzi mkuu wa 2027 iwapo serikali haitawalipa stahiki zao za kustaafu zilizochelewa kwa muda mrefu. #NTVMashinani NTV Kenya @ntvkenya · 2026-08-17 你的浏览器不支持视频播放。 0:00 / --:--